Wakaazi wa Singida waliochomewa nyumba zao kwa amri ya mkuu wa wilaya, kutekeleza operesheni tokomeza ujangili. Hii ni mojawapo ya zawadi tunayopokea wananchi wa Singida kwa kuchagua serikali ya CCM kwa kura nyingi, kuchomewa makazi tuliyokaa vizazi na vizazi hadi mama huyu anayeonekana kuwa na umri wa miaka zaidi ya 80 anavyoonekana.
Related Posts
- [wanabidii] Press Releases: Remarks With German Foreign Minister Frank-Walter Steinmeier After Their Meeting
- [wanabidii] UJERUMANI BINGWA 2014
- [wanabidii] Rais Kikwete aingia mtaani kununua samaki gengeni
- [wanabidii] 6 including Teacher, 46, Caught With N*ked 14-Year-Old Male Student In Classroom (PICTURED)
- [wanabidii] Beri Hull sent you an invitation
- [wanabidii] Germany Vs Argentina: World Cup Final (1 - 0) On 13th July 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments