[wanabidii] sheikh simba kasali idd leo

Tuesday, October 15, 2013
nawashngaa sana bakwata sijui ni nini? yaani sheikh simba yupo makka na kaswali idd leo, anawatangazia watu kuwa sisi tuswali kesho tar 16, hili jambo halina mashiko,kimsingi idd ilipaswa kuwa leo kama jana ilivokuwa arafa

Share this :

Related Posts

0 Comments