[wanabidii] Gazeti jipya la Ujasiriamali - Nguzo yako linauzwa

Thursday, October 24, 2013


Nguzo yako ni jarida jipya la ujasiriamali lililosheheni ujuzi na maarifa ya kuanzisha na kukuza ujasiriamali. Linaweza kubadilisha maisha yako kupitia mada mbali mbali za ujasiriamali ikiwemo,uwekezaji, mikopo,, elimu ya fedha, masoko, teknolojia za usindikaji na siri za mafanikio katika biashara. Utahamasika kwa kusoma historia za wajasiriamali wanaochipukia na waliofanikiwa Afrika mashariki na Duniani. Mfano katika tole la sasa kuna historia ya  Said Bakresa mmiliki wa Kampuni ya Azam.

Bei ya gazeti ni sh. 3000 kwa wakazi wa Dar,  kama uko mbali na Dar tunaweza kukutumia kwa njia ya posta hivyo pamoja na gharama za posta bei yake itakuwa sh. 4,000. 

Kwa habari zaidi wasiliana na wakala  wa gazeti hili Mr Charles Nazi kwa simu namba 0755394701.

CHARLES NAZI

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments