[Mabadiliko] Video ya magaidi walivyokuwa ndani ya Westgate

Tuesday, October 15, 2013
 
Kitu ambacho kinanishangaza ni:-
  1. Yaani CCTV za jengo hilo zilirekodi magaidi wakiwa wenyewe "free" tu?
  2. Inawezekana kweli magaidi wawe wajinga kiasi cha muda wote kuzunguka "mbele ya CCTV camera" ili hali wakijua wanawindwa?
  3. Kwahali ya kawaida, inawezekana kweli ukoswe na risasi kutoka nje (iliyopigwa na KDF, au GSU) halafu bado uendelee kuzungukazunguka kwenye uelekeo huo huo ilipotokea risasi?
  4. Angalia jinsi jamaa walivyokuwa "relaxed"!!
  5. Jamaa wanasali mbele ya CCTV camera?
Kujibu maswali haya, ifike pahala watoe CCTV ya magaidi wakiwa katikati ya watu (siyo wakati wakilenga mtu bali hata walipokuwa wakitembea kutoka eneo moja kwenda jingine).

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
KARIBU MABADILIKO MPYA: Jukwaa hii sasa linapatikana katika mwuonekano wa Kisasa: www.forums.mabadiliko.com tafadhari tembelea na jisajili huko
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments