Yote yanatokea kwa wakati mmoja. Uko njiani na una haraka. Mwanadamu unafanyaje?
Jibu; Huwezi ukautoa mwiba wa mguuni ukiwa umesimama. Hivyo, uanze kwanza na kuutoa mwiba wa matakoni. Ufanye hivyo ili uweze kukaa. Utulie na kuutoa mwiba mguuni.
Naam, yumkini mwanadamu ukawa na mengi kwa wakati mmoja. Lakini, lililo la busara ni kutambua kipi kilicho cha muhimu zaidi kwa wakati husika.
Ndio, utambue ni kipi cha kuanza na kipi cha kufuata.
Na tuwe na shajari za matukio ya kutendwa hata kwenye akili zetu.
Ni Neno Fupi La Usiku.
Maggid.
Iringa.
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments