[wanabidii] WANASIASA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO!

Tuesday, September 17, 2013
Ndg Wanabidii
Mimi si mwanasiasa na wala si mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa nchini. Naomba mnisaidie kimawazo. Je ni sahihi viongozi wa vyama vya siasa wanapokuwa mikoani kuimarisha vyama vyao, kujihusisha na miradi ya maendeleo kama vile kuifungua au kuweka mawe ya msingi, hali haijengwi na vyama vyao?
nawakilisha!

Share this :

Related Posts

0 Comments