Ndugu zangu ,
Kwanza napenda kutoa pole kwa wote waliokumbwa na tukio hili baya la kigaidi nchini Kenya na kubwa zaidi duniani kwa maana ya lilivyopangiliwa na kutekelezwa na kikundi kidogo cha watu .
Wakati naandika hii jeshi la marekani upande wa africa AFRICOM limetangaza kushambulia vituo vya magaidi popote afrika kuanzia Somalia , Kenya na kwingine .
Mimi binafsi nimejiuliza maswali kadhaa ambayo ningependa kuwashirikisha wenzangu .
1 – Kwanini shambulio hili limetokea wakati ambapo china na Kenya zimekuwa na ushirikiano wa karibu zaidi kuliko wakati wowote ule ?
2 – kwanini shambulio lililenga zaidi watu wa nje je hii ilikuwa ni lengo la kuingiza mataifa mengine katika vita hii haswa yale ya ulaya na marekani ?
3 – Kwanini KDF jeshi la Kenya lilichelewa kufika mahala hapo na inasemekana walitumia zaidi ya dakika 20 mpaka kufika na wametumia zaidi ya masaa 48 mpaka sasa hivi kutekeleza jukumu lao ?
4 – Ni kweli kwamba vyombo vya usalama vya Kenya havikuwa vinajua ramani ya jengo husika au hata maeneo mengi ya jirani mpaka kuhitaji msaada wa Israel na mataifa mengine ?
5 – Kwanini shambulio hili limechagua haswa kenya yenye uhusiano halifu na ICC na sio Ethiopia iliyokuwa ya kwanza kushambulia mahakama za kiislamu Somalia na al shabab ?
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments