Jamani naomba ushauri wa kisheria kuhusiana na mambo ya bima ya magari; in short gari langu lilipata ajali ya moto na kuteketea kwa zaidi ya asilimia 100 hapo February 2012. Kwa bahati nzuri gari langu nililikatia comprehensive (kwenye kampuni moja ambayo nisingependa kuianika humu jukwaani) kabla ya ajali; katika kipindi chote hicho nimekuwa nikifuatilia claim ya gari langu bila mafanikio, ati wanachodai ni kuwa kwenye claim yangu kuna tofauti kubwa kati ya price ya gari Vs insured valued ati havirandani. Sasa najiuliza mbona hayo maswali ama hizo tofauti sikuulizwa wakati nakata bima ya gari lang; ki ukweli nimechanganyikiwa baada ya kupokea barua yao wakisema wamefanya investigation na kujiridhisha kuwa sina claim yeyote ninayodai na kwa vigezo vya utofauti wa value ya gari na kile nilicho insurer hawaoni sababu ya kunilipa??!!
Nakala za repoti ya polisi na fire ninazo pia
Naomba ushauri jamani ndugu zangu
Regards,
Lucas
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments