[wanabidii] MCHANGO WA RAMBIRAMBI KWA FAMILIA YA MAGESA

Monday, September 30, 2013

Dear Mzalendo,

Tunapenda kuwakumbusha wale wote walio pledge kipindi cha msiba wa baba yake Phares Magesa waweze kuwasilisha michango hiyo kwa kutumia mpesa / tigo pesa au kwa mkono

Tigopesa-0716474435
Mpesa-0764446201
Kwa mkono:-Tembelea ofisi zetu zilizoko ABCT, Mavuno House,Azikiwe street.Ground Floor

Thanks& Regards,
Ester-TPN Progran Officer.

Share this :

Related Posts

0 Comments