[wanabidii] MAZINGIRA YA SHULE YANAVYOATHIRI NIDHAMU NA MALENGO KWA WANAFUNZI

Tuesday, September 10, 2013
Unafahamu kuwa mazingira yasiyofaa shuleni yana athari kubwa kwa wanafunzi kinidhamu na kitaaluma? Wazazi na jamii wanahusika vipi katika malezi, makuzi na maendeleo ya mtoto kimaadili na kitaaluma?

Ili kufahamu haya na mengine mengi usikose kuangalia kipindi cha Tafakati Time Alhamisi wiki hii kuanzia saa moja kamili hadi saa moja na nusu na marudio Ijumaa saa saba na nusu hadi saa nane mchana kupitia STAR TV. 

Pia kwa wale wa mikoani mnaweza kusikiliza kipindi hiki siku ya Jumamosi kuanzia saa moja na nusu hadi saa mbili kamili usiku kupitia Radio zifuatazo
• Abood Fm-Morogogo
• Sibuka FM –Shinyanga 
• ABM FM –Dodoma
• Mwambao FM- Tanga 
• Jogoo FM-Ruvuma
• Baraka FM-Mbeya 
• Country FM-Iringa 

• Kasibante FM –Bukoba –Ijumaa saa moja na nusu mapaka saa mbili kamili usiku

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments