kuna vituko vya wanasiasa, hivi inakuwaje hadi mmasai au mkwere atawazwe kuwa mtemi wa kisukuma, je zile mila za kabila husika anazijua kweli? kwa mfano baadhi ya makabila kama wakurya na wamasai wanatahili wavulana harafu leo umtawaze mtu wa kabila ambalo halifujati hiyo mila , yaani hajatailiwa halafu awe mtemi wa kabila linguine............huu nao ni mjadala lakini staki kwenda mbali
nacho jiuliza alikuwa wapi Samweli Sitta wakati Lowassa anatawazwa kuwa mtemi wa kinyamwezi, yaani kama tukio lingekwenda Live angechungulia kupitia tv sasa ilibidi asubiri hadi taarifa ya habari, athibitishe kama kweli wanyamwezi wameamua kumtosa.
jiulize upo kwenye matembezi unarejea nyumbani kwako unamkuta mwanaumme mwingine anaandaliwa sherehe ya kutawazwa kuwa mkuu wa familia yako utafanyeje?????????????
0 Comments