[Mabadiliko] Wabunge wa CCM ni sikio la kufa

Thursday, September 05, 2013
Nimesikiliza Hotuba za wabunge wa CCM katika mjadala wa jioni. Wote walikuwa wanajadili wenzao wa upinzani badala ya kujadili vifungu vya Rasimu ya Sheria wanayong'ang'ania kutunga. Nimesikia mipasho na matusi ya Kigwangallah dhidi ya wabunge wa Chadema. Hadi muda wake unaisha, alikuwa hajachangia lolote kwenye muswada, huku akilaumu wenzake eti wamekataa kufanya kazi yao ya kutunga sheria. Je, yeye ameifanya saa ngapi?

Lililo dhahiri ni kwamba CCM hawataki Katiba Mpya, ndiyo maana wanang'ang'ania mawazo yale yale. Hawana nia njema na mchakato. Ndiyo maana hawataki kusikiliza wenzao.

Bahati mbaya bado wanadhani wananchi wanwasikiliza. Wahenga walinena, sikio la kufa halisikii dawa. Wasubiri matokeo.

Ansbert Ngurumo
Existential Philosopher, Musician, Journalist & Media Manager
Vox Media Centre & Free Media
Tanzania

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.

TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl

For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments