[Mabadiliko] Fwd: Wasanii wa muziki wa kizazi kipya "kukopiana" nyimbo! Mfano ni Dayna na Diamond

Monday, September 02, 2013
Imekuwa ni kawaida siku hizi kwa wasanii wa kizazi kipya nchini "kukopiana" nyimbo. Haijulikani nani mmiliki "halali" wa wimbo husika.
 
Mfano, sikiliza nyimbo hizi mbili zinazotumia "mdundo" unaofanana!
 
  1. Diamond (my number 1)
  2. Dayna (naumia).
 
Watu wa sanaa ya muziki mnasemaje kuhusu hili?
 
Katika kupekua mitandao ya kijamii, kuna mtandao umeandika kwamba...
 
"Inasemekana awali Dayna alimtaka Diamond wakafanye wimbo kwa Shedy, Diamond akakubali, akaskiliza mdundo na kumuahidi Dayna kwamba wangefanya wote. Lakini baadae Diamond akamrubuni Shedy na kumwambia ile bit ampe na aachane na kazi ya Dayna".
 
 
 
 
 

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments