Napenda kuwafahamisha kwamba nimeanzisha Forum ya wajasiriamali ambayo itakuwa ikijadili mambo ya ujasiriamali. Napenda kuwakaribisha kwenye Forum ya Wajasiriamali, Baada ya kilio cha wanachama wa tovuti yangu ya Mshauri wa biashara kunifikia nimeamua leo hii tarehe 10/8/13 kuanzisha Forum ya Wajasiriamali ambayo inaruhusu watu wote kujiunga bila malipo yoyote na kila mwanachama anaruhusiwa kuandika kitu chochote kuhusu ujasiriamali, maisha, matangazo mradi asikiuke sheria za Forum. Tovuti ya forum hii ni; www.wajasiriamali.freeforums.n
Karibuni mjiunge
CHARLES NAZI
MODERATOR WAJASIRIAMALI FORUM
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments