Ndugu zangu Wanabidii ni muda mrefu mimi sijasikika wala kuonekana kwenye Mtandao.
Nilikuwa nashindwa kuwapata na pia kuna kipindi niliumwa karibu kuaga Dunia lakini niliweza kunusurika na nipo.
Poleni na shughuli za Jukwaa maana naona Limeingiliwa na Matusi ambayo sio Jadi yetu.
Bai nimerudi tutakuwa pamoja.
Amani iwe juu yenu.
-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments