Hii nimeikuta kwenye mitandao yao ya fb; Shekue Pashua (LLB - CCM, Tanga) akiungana na Glorius Luoga (LLB- CCM, Makao Makuu) eti wanahoji wako wapi watetezi wa haki za binadamu kumtetea Sheikh Ponda?? Tena wanahanikiza kuwa kumbe watetezi wa haki za binadamu sio CCM wala CUF, ila ni CDM. Kwa hiyo wanahoji ni kwanini wanatetea wananchi wanyonge bali sio wa CUF na CCM.?
MIMI SIJAELEWA KABISA, Nisaidieni.
Marc6
0 Comments