[wanabidii] Kamanda Ras Makunja kurudishiwa Bundi wake ! Lakini mmoja tu !

Saturday, July 20, 2013




Kamanda Ras Makunja kurudishiwa Bundi wake !

Jirani aliyechonga dili kahama mtaa kwa hofu ya washabiki!

Udaku special, umevuja kutoka katika kambi ya FFU ughaibuni kuwa,
Mkuu wa Ngoma Africa band aka FFU,kamanda Ras Makunja atarudishiwa
mmoja ya ndege wawili aina ya Bundi aliyokuwa anawamiliki ,uamuzi
huo ulitolewa na idara ya uangalizi ya Oldenburg,huko ujerumani.
Mwishoni mwa mwezi wa nne mwaka huu,watu wasio julikana walifanikiwa
kuvunja banda walilokuwa wakiishi bundi wawili nyumbani (Anunnaki empire)  kwa Ras Makunja na kuondoka na bundi hao wawili,baadaye 
ndege hao walipatikana katika idara ya uangalizi wa wanyama,na mmoja
wao alirudishwa Amerika ya kusini.lakini mwanzoni wa mwezi julai idara
ya wanyama imeamua kumurudisha ndege aina ya Bundi mwenye jina la Udi Udi kwa mmiliki wake ambaye ni mwanamuziki kamanda mkuu Ras Makunja.
Lakini inasemekana kuwa familia ya Kamanda imemtilingia ngumu baba mwenye nyumba kwa kumwambia Bundi hao wasiwekwe ndani ya nyumba bali nje ! .Pia jirani ya Ras Makunja aliyebebeshwa lawama za kuwa ndiye aliyechonga dila na kusababisha Bundi wakamanda wachukuliwe ,Jirani kahama mtaa kwa kuofia baadhi ya washabiki uwenda wakamletea tafrani, Tunamtafuta Kamanda Ras Makunja lakini
simu kazima

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments