[wanabidii] International African Festival Tubingen 2013,Kuanza 8 hadi 11 .08.2013,Ujerumani

Monday, July 22, 2013

Karibuni !
International African Festival Tubingen 2013,Kuanza 8 hadi 11 .08.2013
Mjini Tubingen,Ujerumani

Tübingen,Ujerumani,

Onyesho kubwa la kimataifa "International African Festival Tubingen 2013,linatalajiwa  kuanza tarehe 8 hadi 11.Augost 2013,mjini Tübingen, jirani na Stuttgart huko Ujerumani. Maonyesho hayo ya aina yake yanatarajiwa kuhudhuriwa na watu zaidi ya 100,000 kutoka sehemu mbali mbali duniani. wanasanii zaidi 600 zikiwemo bendi
za muziki za kiafrika zitatumbuiza katika maonyesho hayo makubwa ya kiafrika barani ulaya. Bidhaa na sanaa kutoka nchi mbali mbali za kiafrika ndizo zitakaonyeshwa katika maonyesho hayo,kutakuwa na mikutano katika ya wafanyibiashara wa kiafrika na wa Ujerumani kwa lengo la kukuza uhusiano wa
kibiashara. Onyesho hilo pia litaudhuriwa na mabalozi na wawakilishi wa nchi za
kiafrika nchini Ujerumani,pamoja na viongozi wa jumuiya za kiafrika nchi ujerumani.
Maonyesho ya "International African Festival Tubingen " yanayo andaliwa
na shirika lisilo la kiserekali Afrikaktiv e.V, chini ya mkurugenzi wake Madam
 Susan Enih Tatah,maonyesho hayo yanakuwa kwa kasi kubwa na kuwa na
mvuto wa maelfu ya watazamaji.
Kwa wale wanao shiriki au kuhudhuria maonyesho hayo wanaweza kuwasiliana
at 
Susan Enih Tatah – Founder & CEO

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments