[Mabadiliko] ITAKUAJE KAMA MBOWE ATASHINDWA KUPELEKA USHAIDI WA MABOMU YA ARUSHA LEO?

Tuesday, July 23, 2013

Waungwana. Leo Saa Nane mchana bila kukosa Freeman Mbowe (MB) Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi ya Upimzani Bungeni anatakiwa na Polisi kupeleka ushahidi aliodai kiwa anao kuhusiana na Mlipuko wa Bomu Soweto Arusha. Lakini Gazeti la Tanzania Daima limemnukuu Mbowe akisisitiza kutopeleka ushahidi huo polisi kwa madai kuwa Jesho hilo ndilo linalotuhumiwa. MBowe amesisitiza Rais kuunfa Tume ya Majaji wa Wahakama huo utakuwa uwanja huri kwa yeye kutoa ishahidi huo. Kwa mujibu wa barua ya Jeshi la Polisi aliyoandikiwa Mbowe ni kosa la jinai kutopeleka ushahidi huki mwenyewe akisisitiza hawezi kwenda kinyume cha Maazimio ya Chama Chake kilichoamua kugomea kufanya hivyo. Itakuaje leo?
Vin

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments