.. Na ndio siri ya mafanikio yake..
Ndugu Zangu,
Na Katika maisha kuna wanaogopa kushindwa. Njia nyepesi ya kuepuka kushindwa ni kutoshindana. Kwa mwanadamu, hapo utakuwa umeshashindwa kabla ya kushindana.
Na siku zote, mshindi mzuri ni yule aliyeshindwa mara nyingi. Barack Obama ni mfano wa mshindi mzuri. Maishani mwake Obama ameshindwa mara nyingi, ni kwenye familia na siasa pia.
Hakika, si wengi wenye kutambua, kuwa Barack Obama ni mfano wa wanasiasa walioshindwa mara nyingi, lakini,...Soma zaidi...http://www.mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/3577-neno-la-leo-duniani-kuna-wanaoogopa-kushindwa-lakini-si-obama.html#.Uc2F8pyNCAg
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments