Wapendwa,
Mining industry inapitia mojawapo ya vipindi vigumu zaidi kuwahi kuvipitia. Gold price imeshuka kwa karibu 500USD kwa ounce na Nickel na iron ore nazo zimeshuka kwa kiasi kikubwa sana. Barrick wanapunguza watu mpaka kwenye corporate offices zao.
Sijui ni migodi mingapi itavuka salama na itavuka baada ya kufanya maamuzi ya namna gani. Tujiandae kwa bad news from ABG kuna Geita gold mines. At 1250usd/oz ni migodi michache sana itaweza kusimama.
Tusubiri....
--Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments