Na Maggid Mjengwa.
"ANAYEOGELEA baharini haogopi mvua." Anasema Osama Bin Laden.
Kuna wakati akiwa mafichoni, Osama Bin Laden alijitokeza na 'kuhutubia" ulimwengu
kupitia kituo cha televisheni cha Al-Jazira. Ilikuwa mwezi Januari, 2006. Sauti ya Osama ilikuwa imenaswa kwenye mkanda na kuthibitishwa na wataalam wa sauti katika nchi za Kiarabu na hata CIA, Shirika la ujasusi la Marekani.
Kauli ya Osama kuulezea msimamo wa Al-Qaida na labda wake mwenyewe
ilitoa tafsiri nyingi. Kwa kiasi fulani... Soma zaidi..http://www.mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/3413-hofu-ya-ugaidi-06-sura-mbili-za-osama-bin-laden.html#.UcVV45yNCAg
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments