Pimentas; kocha wa Brazil aliyefanya kituko cha kihistoria
Na Maggid Mjengwa,
Leo tutaziangalia fainali za tatu za Kombe la Dunia za mwaka 1938
nchini Ufaransa. Tumeona, kuwa huenda FIFA ilitumia "hila"
kuifanya Ufaransa kuwa mwenyeji wa fainali za mwaka 1938.
Ikumbukwe, Ufaransa ndiko alikotoka Rais wa FIFA wa wakati huo, Bw.
Jules Rimet. Mara tu FIFA ilipotoa uamuzi wa kuzipeleka fainali hizo
Ufaransa, hapo hapo Argentina wakatangaza kususia fainali hizo. Nchi
nyingine kadhaa za Marekani ya Kusini ziliungana na ......Soma zaidi...http://www.mjengwablog.com/michezo/item/3580-historia-ya-kombe-la-dunia-v-pimentas-kocha-mbrazil-aliyefanya-kituko-cha-kihistoria.html#.Uc2RWJyNCAg
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments