[wanabidii] mikumi lodge for you

Friday, May 10, 2013
Waheshimiwa hi, napenda kuwashirikisha ktk hili hotcake deal la uwekezaji wa ndani jamani, ni fursa adimu naomba mchangamkie.kuna mnada wa hadhara this weekend pale temeke ambapo guest house 2 zitauzwa kwa mnada wa hadhara.1 mikumi lodge house ipo mwembeyanga tmk.vyumba 11 zote full ac, sehem ya bar, uhakika wa maji as kuna kisima kirefu.2 kusini guest house ipo tmk mwisho wa madala dala, ina room 13 single na moja self jumla 14 ina bar pemben na ipo ktk hali nzur. Anaetaka kujua zaidi anipigie kwa 0652 31 41 81 muda wote nimpe maelekezo na akakague. Tunazo plots na mashamba kibaha tumbi eka 4 tshs 1:2 plots maeneo ya mbz beach m 65 nusu eka ina hati, goba m 35, ubungo msewe m 100 eka na nyumba, suka m 40 nusu eka, mbz msuguru eka 3 m 45.tunazo nyumba kali sana mbezi luis self ya kisasa sana m 65,mbz mwisho m 55,temboni m 70, sinza africana m 250, sinza uzuri m 7- full ac self house na gate ya ukuta,.nauza nadi 199b inatembea iko ktk hali nzuri sana m
7, corolla ltd m 3 inatembea.tunapangisha yard nusu eka usd 3000, ipo mikocheni efata, godown kipawa, changombe na kurasini bei call mee ALJ General Co Ltd cell 062 314181 Da r es salaam.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments