[wanabidii] Kitabu cha baba masikini na tajiri ......unaweza kusilikiza (audio book)

Wednesday, May 22, 2013
Wapendwa wanabidii,
 
Hiki kitabu cha baba tajiri na masikini kinapatikana kwa sauti......ninamaana unaweza kukisikiliza. Najua tunatatizo la kusoma vitabu. Huu unaweza ukawa mkakati mzuri wa kuhamasisha kujisomea. hahahahaha.
Kama baba au mama huna nafasi ya kusikiliza, wawekee watoto wasikilize ili waongeze maarifa.
 
You tube: rich dad poor dad by ...Edward Jones.
 
Amani na utulivu vinaanza na wewe. mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.

Share this :

Related Posts

0 Comments