mbalimbali, Bwana Maxence Melo, katika ukurasa wake wa Facebook
ziliwekwa taarifa muda mchache uliopita kuwa amepatwa na ajali mbaya
huko katika maeneo ya wilaya ya Nzega, mkoani Tabora.
Taarifa hiyo fupi pia imetaarifu kuwa gari walimokuwemo lilizunguka
mara 6 na kuharibika vibaya (tizama picha iliyopchikwa hapo chini).
Walikuwa njiani kuelekea mkoani Kagera. Hali yake si mbaya sana
ingawaje mdogo wake aliyevunjika mkono hali yake si nzuri. Wote
wamefanyiwa utaratibu kwa ajlili ya kuwahishwa hospitalini Bugando,
Mwanza.
Imemaliza taarifa hiyo kwa kuwashukuru wana CCM wa Nzega kwa msaada
walioutoa na kuomba taarifa hii isambazwe ili iwafikie marafiki wote
kwani simu zake zote zimeibwa kwenye eneo la ajali na hivyo
hapatikaniki kwa yeyote atakayejaribu kumfikia kwa njia hiyo.
Source: http://www.wavuti.com/#ixzz2TjdTD5NO
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments