Ndugu zangu,
Asubuhi hii nikiwa kwenye jogging na kamera yangu nilipita mitaa ya kati Iringa Mjini. Hali ni shwari. Sikuona ishara zozote kwamba siku ya leo itaisha kwa vurugu za Machinga na Polisi.
Wananchi wanaendelea na shughuli zao kama kawaida ikiwamo shughuli za biashara. Tofauti na Jumapili iliyopita, maduka mengi yamefunguliwa na watu wanaendelea kuingia na kutoka katikati ya mji. Angalia taswira za mjini Iringa asubuhi hii.. http://mjengwablog.co.tz
Jumapili Njema.
Maggid,
Iringa.
-- Asubuhi hii nikiwa kwenye jogging na kamera yangu nilipita mitaa ya kati Iringa Mjini. Hali ni shwari. Sikuona ishara zozote kwamba siku ya leo itaisha kwa vurugu za Machinga na Polisi.
Wananchi wanaendelea na shughuli zao kama kawaida ikiwamo shughuli za biashara. Tofauti na Jumapili iliyopita, maduka mengi yamefunguliwa na watu wanaendelea kuingia na kutoka katikati ya mji. Angalia taswira za mjini Iringa asubuhi hii.. http://mjengwablog.co.tz
Jumapili Njema.
Maggid,
Iringa.
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments