[Mabadiliko] Hofu Ya Ugaidi ( 2)

Thursday, May 09, 2013

Na Maggid Mjengwa,

 

JANA tulitafsiri maana ya ugaidi. Tukangalia aina za ugaidi. Kisha  tukaangaza kwenye  chimbuko la ugaidi duniani. Leo tutajadili juu ya chimbuko la ugaidi na kwa kutoa mifano,
tutaanza pia kuona mahusiano ya mwezi Septemba na vitendo vya kigaidi.

Wasalote

Kwa zaidi ya miaka 2000 iliyopita kikundi cha Wayahudi kilipambana vikali
dhidi ya himaya ya Waroma katika iliyokuwa Palestina ya zamani.  Kikundi
hiki kiliitwa Salote. Ni watu  wenye hasira kali ikiwa na maana pia kuwa  kilikuwa ni
kikundi cha kisiasa na kidini chenye imani kali.  Kikundi hiki kilitaka
Wayahudi wote wazingatie yote kulingana na maagizo ya dini yao.

Wasalote walipambana kisiasa dhidi ya dola ya wavamizi ya Waroma.
Wasalote waliongozwa  na Myahudi Galileo ambaye amri yake ya kuwataka
wafuasi wake  kugoma kulipa kodi ndio ilikuwa chachu ya  kuanzisha mapambano
ya kigaidi dhidi ya wavamizi wa Kiroma. Jambo hili linashuhudiwa pia katika
maandiko matakatifu ya  Biblia juu ya kodi  katika Agano Jipya.

Hatma ya Wayahudi haikujulikana , lakini, kiongozi mpya  alijitokeza.... Soma zaidi...http://www.mjengwablog.com/michezo/item/2575-hofu-ya-ugaidi-2.html#.UYumIcq86Ag


--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments