[wanabidii] nimeipenda hii;Pinda aanguke maghorofa yasimame

Saturday, April 06, 2013
nimeipenda kauli mbiu hii.

kwa kuwa uatawala wa waziri mkuu Pinda umekalia ripoti ambayo ilitakiwa kusimamiwa na ofisi yake kusamabaratisha magorofa mabovu, wameamua kuyalinda sasa yanaanguka na kutuua.

kilichobaki ni hiki ''utawala wa Pinda usambaratike maghorofa imara yasimame' Pinda anguke Bungeni Maghorofa yasime mitaani'

Share this :

Related Posts

0 Comments