zaidi yamiaka 50 kikaoni nzega mzee matobelo ambaye ni afisa mifugo
wilayani nzega alipigwa ngumi na kigwa baada ya mzee kutaka pesa
zilizolipwa na mgodi billion 2 zitumike kwenye sekta ya afya na elimu
huku kigwa akitaka zitumike kujenga barabara ya lami
Mzee matobelo alimtaka kigwa kuacha siasa kwenye mambo ya kitaalam
ndipo kigwa akamchapa makonde.
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments