[wanabidii] VIWANJA NA NYUMBA VINAUZWA

Thursday, February 28, 2013

Habari za mchana ndugu wananchi? Ninazo habari njema kwenu kuhusu uuzwaji wa nyumba na viwanja.

Kiwanja kimoja kinauzwa Mikocheni B, Hiki kina nyumba kuu kuuu ya zamani na kiwanja kingine kipo Tabata Relini karibu na chuo cha Ualimu cha St. Marys (nyumba yenye vyumba 8 self contained, na servant quarters yenye vyumba vinne stoo na vyoo vyake). 

Viwanja vyote hivi vina hati ya umiliki.

Kwa yeyote mwenye hitaji la maeneo haya tafadhali awasiliane nami. Bei maelewano na hamna dalali.

MUNGU AWABARIKI, AMANI KWENU!

ROBERT CHARLES
+255754763683
+255715763683
+255787763683

 
"To live or die,to make it or not,To have it or not.Through fire or water.I will live and preach the gospel of CHRIST in truth, in the fullness and totality of the Holy Spirit,thus, GOD HELP ME!"
 

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments