[wanabidii] MWONGOZO KUHUSU MUUNDO, UTARATIBU WA KUWAPATA WAJUMBE WA MABARAZA YA KATIBA YA WILAYA(MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA) NA UENDESHAJI WAKE [8 Attachments]

Thursday, February 28, 2013
[Attachment(s) from Pius kilasi included below]
SALAAM MH, KUFUATIA KUMALIZIKA KWA AWAMU YA LKWANZA YA KUTOA MAONI YA
KATIBA, TAARIFA ZIMETOLEWA KUPITIA GAZETI LA MWANANCHI LA JANA, AMBAZO
NIMEAMBATANISHA TAARIFA HIYO YOTE. KWA PAMOJA MH. TUSHIRIKI KUWAHIMIZA
NDUGU ZETU WAINGIE KATIKA MABARAZA HAYO YA KWENYE KATA ZETU ILI WATOE
MAPENDEKEZO WAKATI WA KUJADILI MAONI YA KATIBA YALIYOKUSANYWA,

KWA FAIDA YA WALE AMBAO HAWAKUPATA NAKALA YA GAZETI HILO JANA BASI
WAWEZA KUTUMIA ATTACHMENT HIZO.

NIWATAKIE MEMA MH.



 ''When you pass through the waters, I will be with you; and when you pass through the 
rivers, they will not sweep over you. When you walk through the fire, 
you will not be burned; the flames will not set you ablaze. For I am the LORD, your God, the Holy One of Israel, your Savior ...''

                                                           Isaiah 43:2-3

Pius kilasy.
kilasyp@yahoo.com

__._,_.___
Attachment(s) from Pius kilasi
8 of 8 File(s)
Reply via web post Reply to sender Reply to group Start a New Topic Messages in this topic (2)
Recent Activity:
Rafiki Huru
.

__,_._,___


Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments