[wanabidii] MJADALA WA KUJIUZULU BENEDICTO WA 16:UMRI ULILINGANISHWA NA MAPAPA 200,BAADA YA MIAKA 600 au 700:

Sunday, February 24, 2013
Ndugu zangu,mie ni muelimishaji tu.Ila, no one has everything to give, and has nothing to recieve.Napenda kupata jibu la swali hili maana linakuja kabisa kwenye wakati muafaka wa mjadala wa siku za nyuma kuhusu kujiuzulu kwa Papa Benedikto wa 16!

Swali hili, kwa wale wenye ELECTRO-MAGNETIC BRAINS,wataona kuwa  litakuwa na hoja ziku 3 zijazo.Ili tusiishie tu kuuliza na kujadili kwanini amejiuzulu basi tupate majibu in advence ili kama yapo,na nina tumaini yapo kwa wale watalaamu wa kusaka data.Mie sikuwahi kufikiria hili hata nilipokuwa huko,maana halikuwa la muhimu kwangu hadi leo anapofanya uamuzi wa kustaafu na watu kuwa shocked,epsecially wale wasio wa Imani yake zaidi ya wale wa imani ya R.C.

Ila napenda kutoa maoni yangu hapa;
Papa,labda kwa kuona ni kuongozi mkuu wa Imani ya watu Duniani,na anaweza kuwa na influence kubwa kwa watu,ameogopa kuwa kwa labda kwa watu hata ndani ya kanisa maana nao ni binadamu,wanaweza kumshawishi kwa kutumia udhaifu wake wa uzee,kusahau(maana inasemekana alianza kusahau) wakamwambia assign DOCUMENT muhimu ambayo,kwa ofisi yake,basi Duniani,ingekuwa na INFLUENCE au KISIASA,au KIDINI au kivyovyote vile.

PILI:
Linaweza kuwa fundisho na kweli ni fundisho kuwa yeye kama PAPA,si Mungu au Mtakatifu,bali UTAKATIFU NI WA OFISI YAKE.Na kwa kuwa amependa kuielimisha dunia, mfano TWITTER,anapenda kupitia kujiuzulu kwake,basi watu wafahamu kuwa YEYE SI MTAKATIFU bali anaweza kuacha ofisi hiyo(kufuatana Kanuni za Kanisa ambazo wengi hatui),basi ili kuondoa hii imani kuwa Papa hastaafu eti hadi Kufa.

Basi,namalizia kwa kwa kusema:KWANINI MTU APENDE MABADILIKO,na YAKIJA AWE NA MASWALI...Ohh kwanini HIVI?TUSIWE NA NEGATIVE ALTITUDE na MABADILIKO maana TUNATETEA.Ndiyo maana inakuwa ngumu kwa mtu KUJIUZULU kutoka ofisi yake kushindwa kwani wanaona MABADILIKO NI UDHAIFU NA SI UWAJIBIKAJI.Nawakilisha. 

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments