Wanabidii,
Leo asubuhi saa 12:00 nilikuwa nasikiliza taarifa ya habari kutoka redio Magic FM.Walikuwa wakielezea mkutano wa Mh. Bernard Membe na Mh. Yousuf bin Alawi bin Abdulla wa Oman.Katika taarifa hiyo mtangazaji alimtaja Mh. Membe kama Rais Mtarajiwa.Hivi wanabidii hii imekaaje?Ni sahihi walivyofanya hawa Magic FM?
Best Regards.....?,
Constantino Kudoja
Senior Power Plant Technician-BO
Zanzibar Telecom Limited
P.O.Box 77052
Dar EsSalaam
Tel. 077 3131164
0 Comments