Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zitto Kabwe:' Udini:Uchafu Chini ya Kapeti.Tunajidanganya Wasafi.'
'Mheshimiwa Spika, nakushukuru sana kwa kunipa nafasi ya kuchangia hotuba ya Wizara hii ambayo ni muhimu sana na ni moja ya Wizara ambazo ni andamizi katika uendeshaji wa Serikali yetu kwa sababu ndiyo Wizara ambayo inasimamia administration of justice. Kwa hiyo, nafurahi sana kuzungumza leo hii.
Mheshimiwa Spika, nina kitabu cha survey ambayo imefanywa na watu wa REPOA lakini ni kazi ya Serikali na kwa sababu ni kazi ya Serikali, kitabu hicho kinaitwaViews of the People 2007. Kitabu hiki ni sehemu ya shughuli za utekelezaji wa kila mwaka wa Mkakati Wa Kupunguza Umaskini na Kukuza Uchumi yaani MKUKUTA. Katika kitabu hiki, inaonyesha kwamba level ya kutoaminiana mistrusts kati ya Watanzania imefikia 78%, kwa maana ya kwamba katika kila Watanzania 10 ni Watanzania 8 tu ndiyo wanaoaminiana na kuaminika. Kwa hiyo, katika kila Wabunge 10 ndani ya Bunge hili ni Wabunge 2 tu ambao akisimama akizungumza unaweza ukaamini maneno yake, hii ni hali mbaya sana katika taifa letu.
Zaidi soma hapa: http://goldentz.blogspot.com/2013/02/mbunge-wa-kigoma-kaskazini-na-naibu_22.html
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments