[wanabidii] KUPOTEA KWA WATANZANIA WATATU NCHINI JAPAN

Friday, February 22, 2013
ALLY KANAGAWA CO., LTD.
KANAGAWA-KEN ZAMA SHI SAGAMIGAOKA 2-39-21(202)
TEL & FAX  +81 462598986    MOB   +81 8050757879   
Email; allykanagawa@yahoo.com

Yah: KUPOTEA KWA WATANZANIA WATATU INCHINI JAPAN
Rejea kichwa cha habari hapo juu,

Mimi ndugu  SAID ALLY HUSSEINI ni raia wa Tanzania ninayeishi hapa Japan na kumiliki kampuni iitwayo Ally Kanagawa Co., Ltd  inayojihusisha na biashara  mbalimbali.

Ninapenda kuuarifu:

  • Ubalozi wetu wa Tanzania nchini Japan kupotelewa na Watanzania watatu  niliowaalika kuja hapa kwa lengo la kufanya biashara. Watanzania hao walifanikiwa kuingia Narita Airpot tarehe 10/2/2013  lakini tokea siku hiyo sijapata taarifa zao wala kuwaona mpaka sasa.
  • Mtanzania yeyote mwenyea taarifa zao anaombwa kutoa taarifa kwa Ubalozi wa Tanzania nchini Japan kwa simu namba 0334254531 au email tzrepjp@gol.com au kituo chochote cha polisi kilicho karibu nawe.
  • Majina ya WaTanzania hao ni:
 
(1)    Jina kamili     Makumlo Shaaban Waziri
          Kuzaliwa        21/jan/1963
          Passport        AB091446
 
(2)     Jina kamili     Eddy  Mohamed  Halid
           Kuzaliwa        21/Apr/1967
           Passport         AB289544
 
(3)     Jina kamili     Waziri Waziri Shaabani
           Kuzaliwa        24/jun/1990
           Passport          AB112638
 
Natanguliza shukrani.

SAID ALLY HUSSEINI
DIRECROR

 
Allah is every thing in your life


Source: http://www.wavuti.com/#ixzz2LfMfMZe2

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments