[wanabidii] Richard Mgamba aunguruma BBC kuhusu Ubakaji

Thursday, January 17, 2013

Jana jioni nilisikia mjadala kuhusu ubakaji ukitangazwa kupitia Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), mmoja wa wachangiaji mada akiwa Mhariri Mtendaji wa The Guardian ln Sunday ambaye pia ni Mwana-Mabadiliko, Richard Mgamba.

Katika hoja zake, Mgamba aliainisha aina tatu za ubakaji ukiwemo unaofanywa kwenye maeneo ya vita hasa inayohusisha vikundi vya uasi na majeshi ya serikali na ule unaotokana na imani za kishirikina.

Lakini msingi wake mkuu ulikuwa kwa jamii kushiriki kikamilifu kuwafichua na 'kuwashughulikia' wabakaji.

Mada hii ya ukuaji wa ubakaji mjaitazama vipi? Na kuna yeyote mwenye nyongeza katika mjadala wa BBC uliofanyika jana?

Nawasilisha.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments