[wanabidii] MTWARA NYUMBA ZACHOMWA - KISA GAS!

Friday, January 25, 2013
Wanabidii
Niwajuze kuwa hali inaendela kuwa tete katika mji wa Mtwara. Barabara zimefungwa, Magari yamemomwa moto, Ofisi ya CCM imechomwa na Nyumba ya Waziri Hawa Ghasia nayo imo. Kisa ni GAs. Je hii neema ama Balaa. Mbona mwanzo tu?

Yarabi salama tunakwenda wapi. Serikali iingilie kati!

Share this :

Related Posts

1 Comments
avatar

Watu wanachoma moto mahakama na nyumba za waheshimiwa....sasa hio itasaidia nini...hamna watu wenye akili finyu kama sisi wana kusini...haki ya mungu..mwenyezi mungu tusaidie

REPLY
:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng
:lv