[wanabidii] Benki ya Wanabidii

Friday, January 18, 2013
Kaka Lwegasira,
Samahani sana, kwani wengine huwa tupo kidogo ukumbini na baadae tunapotea na kwahivyo hatuyajui yanayotokea.
Hivyo huu mradi wetu wa benki umefikia wapi na vitu gani vinavyotukwamisha mpaka hivi sasa?
Naomba msaada wako Kaka Lwegasira.
Kila la kheri.
 
//John Nkumbaruko. 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments