Amani kwenu. Wiki iliyopita nilitoa taarifa hapa jukwaani kuhusu gari namba T.204 AJP Saloon ya marehemu NIMROD LOTTI CHACHAGE ambayo dereva wake hakuwa ameonekana tangu kufariki wa marehemu Octoba 06,2012. Napenda kuwafahamisha kuwa gari hiyo hatimaye imepatikana jana jioni. Shukrani kwa wote waliofanikisha kupatikana kwa gari hiyo.Aidha shukrani za pekee kwa kamanda wa kikosi cha usalama barabarani mkoa Bwana Mwamakula na kikosi kazi cha vijana wanaoishi katika mazingira magumu-Ubungo aka watoto wa mitaani ambao walifanikisha zoezi hilo kwa asiliia kubwa. Hata hivyo, baada ya upembuzi kwa msaada wa kampuni nyingine aliyokuwa akikatia bima imegundulika kuwa bado kuna gari tano ambazo zipo mikononi mwa watu.Gari zote hizo zimekatiwa bima mwezi wa tano mwaka huu. Gari hizo ni:-
MERY CHACHAGE 0752 881 984 ONESMO CHACHAGE : ______________________________ A D D R E S SWithout "Ethical Culture" there is No Salvation for Humanity ______________________________ John J. Malata Vikindu Teachers` Training College. P.O Box 16268 DAR ES SALAAM TANZANIA Mobile: +255 754 351 868 Altenative e-mail: malata_3@live.com Blog:http://pengotz.blogspot.com/ |
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 Comments