[wanabidii] Uganda bingwa, Zenji mshindi wa tatu

Saturday, December 08, 2012
Uganda imeifunga Kenya mabao 2-1 na kuchukua kombe kwa mara nyingine ya nyingi sana.
 
Zanzibar imeifunga Bara kwa penalti 6-5 baada ya kumaliza kwa sare ya 1-1.
 
 
Bingwa: Uganda
Mshindi wa pili: Kenya
Mshindi tatu: Tanzania Zanzibar
Mchovu wa mwisho: Tanzania Bara.

Share this :

Related Posts

Previous
Next Post »
0 Comments