Kuna nafasi zifuatazo za kazi Customer Service & Sales kwa vijana wanaojituma na wenye bidii ya kazi: Ofisi zipo katikati ya jiji la DSM.
1. Money Services i.e. kutuma na kupokea (Tigo; Vodacom; Airtel; Zantel); Airtime Sales and Internet Modems
2. Huduma ya Kuunganisha Digital Television (DSTV; Startimes; Zuku; ATN; Basic Transmision; Easy TV); Decoders; Antennas; Airtime
3. Kulipia Utilities Services: Umeme Luku; Maji Dawasco; Gas Oryx
4. Business Connection Information for: Security Services; Consultancy Services; Airtickets; Car Rental; Real Estate
Sifa Za Mwombaji:
1. Awe anajua Kusoma na kuandika Kiingereza
2. Umri usizidi miaka 25
3. Awe makini na mwaminifu katika pesa
4. Awe na bidii ya kazi na mwenye kujituma
5. Awe tayari kufanya kazi kwa shift on 24 Hours basis
Mshahara utategemea sifa za mwombaji na ni maelewano.
Tuma maombi yako na CV na haraka kwenda Mtsimbe@gmail.com & sam@danimex.com
0 Comments