Gari imepotea.Mmiliki wa gari hiyo ngugu NIMROD LOTTI CHACHAGE amefariki dunia tangu tarehe 6/10/2012. Upotevu huo umegunduliwa na wasimamizi wa mirathi hivi karibuni kwa msaada wa kampuni ya bima ya ambayo marehemu alikuwa akikatia bima. Gari hiyo ilikuwa ikifanya kazi zake kama TAXI maeneo ya temeke.Katika siku za mwisho za uhai wa marehemu Chachage gari hiyo ilikuwa inapaki maeneo ya UBUNGO .Dereva wa gari hiyo ambaye hatujafanikiwa kumtambua hajapata kuonekana tangu kufariki kwa bwana Chachage. Aina ya gari: SALOON
Namba za gari: T.204 AJP
Rangi: NYEUPE
Kwa yeyote mwenye taarifa za gari hiyo au atakayeiona tafadhali atoe taarifa katika kituo chochote cha polisi au kupiga simu kwa namba zifuatazo. 1. MERRY CHACHAGE: 0752 881 984 2. ONESMO CHACHAGE: O762 920 038/0655540964 3. JOHN J. MALATA: 0754 351 868/0653077830 4. BENAIYA CHACHAGE: 0659107408. ZAWADI ITATOLEWA KWA YEYOTE ATAKAYEFANIKISHA UPATIKANAJI WA GARI HIYO. KWA AJILI NA KWA NIABA YA FAMILIA YA MAREHEMU NIMROD CHACHAGE
______________________________ Without "Ethical Culture" there is No Salvation for Humanity ______________________________
A D D R E S S![]() John J. Malata Vikindu Teachers` Training College. P.O Box 16268 DAR ES SALAAM TANZANIA Mobile: +255 754 351 868 Blog:http://pengotz.blogspot.com/
|
|
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
Share this :
0 Comments