"MAWAKILI wa Sheikh Farid Hadi Ahmed na wenzake wameilalamikia ukiukwaji wa haki za binaadamu wanaofanyiwa
wateja wao kwa kunyimwa haki zao za msingi na kulalamikia hali mbaya ya gerezani tangu kukamatwa kwao wiki mbili zilizopita."
Daily East African News Updates
0 Comments