uzinduzi wa jiji la arusha uliofanyika Ijumaa iliyopita ambao mgeni rasmi alikuwa mheshimiwa rais jakaya kikwete umegharimu milioni 114.Je kiasi ni halilali kutumika kwa sherehe ya masaa matatu tu wakati halmashauri inakabiliwa na matatizo lukuki!hapo chini ni baadhi ya michanganuo ya matumizi ya fedha ziliztumika. Mfano Original comedy na Diamond walilipwa mailioni but hawakuparfom kutokana na ratiba ya shughuli kubana na walilipwa fedha zote.
"Kazi ni Kwako"!!!!!!!!
Gharama za uzinduzi wa Jiji
1.Kikundi cha Orijino comedy Tshs 12mil
2.Msanii Diamond Tshs 10mil
3.Fulana 3,000 Tsh 26mil
4.Mapambo uwanja wa mpira Tsh 4,517,500
5.Ununuzi wa zulia Jekundu Tshs 2,475,500
6.Mapambo mnara wa Mwenge Tshs 2,500,000
7.Ununuzi wa njiwa Tshs 1,620,000
8.Kikundi cha ngoma ya kimasai 1,050,000
9.Kikundi cha JKT oljoro Tsh 1,500,000
10.Mapambo kitambaa Tshs 385,000
11.Vibao vya uzinduzi(mawe)Tshs 1,980,000
12.Jiwe la uzinduzi barabara za TSCP 1,840,000
13.Kukodisha horn speakers 1mil
14.Kutengeneza matangazo makubwa manne Tshs 6,400,000
15.Mabango makubwa 4 ya mipakaniTshs 7,079,000
16.Ufunguo wa jiji 950,000
Frame ya cheti cha jiji 150,000
"Kazi ni Kwako"!!!!!!!!
Gharama za uzinduzi wa Jiji
1.Kikundi cha Orijino comedy Tshs 12mil
2.Msanii Diamond Tshs 10mil
3.Fulana 3,000 Tsh 26mil
4.Mapambo uwanja wa mpira Tsh 4,517,500
5.Ununuzi wa zulia Jekundu Tshs 2,475,500
6.Mapambo mnara wa Mwenge Tshs 2,500,000
7.Ununuzi wa njiwa Tshs 1,620,000
8.Kikundi cha ngoma ya kimasai 1,050,000
9.Kikundi cha JKT oljoro Tsh 1,500,000
10.Mapambo kitambaa Tshs 385,000
11.Vibao vya uzinduzi(mawe)Tshs 1,980,000
12.Jiwe la uzinduzi barabara za TSCP 1,840,000
13.Kukodisha horn speakers 1mil
14.Kutengeneza matangazo makubwa manne Tshs 6,400,000
15.Mabango makubwa 4 ya mipakaniTshs 7,079,000
16.Ufunguo wa jiji 950,000
Frame ya cheti cha jiji 150,000
- Matangazo roll up bunners 1mil
- Wheel covers 25 Tshs 1,275,000
- Hang up bunners tshs 2,430,000
- Ratiba 300 1,200,000
- Makala maalum TBC 5,000,000
- Kipindi maalum Star Tv 700,000
- Tangazo maalum TBC 2mil
- Matangazo Redioni na magazetini 1mil
- Waandishi wa habari 1.5mil
- Uandaaji na usambazaji wa barua za mialiko Tshs 1,526,000
- Chakula cha mchana Mount Meru hotel kwa msafara wa Mh Rais 15mil
0 Comments