[wanabidii] Ukware wamfukuzisha kazi bosi wa CIA

Saturday, November 10, 2012
Mkurugenzi wa CIA, David Patraeus, ameachia ngazi kwa ukware. Ilimtokea tu maskini ya watu.
Kitu chenyewe hiki hapa chini .......................kimeramba shule ile mbaya (kinamalizia PhD) na kiko fizikali fiti.
Mbaya zaidi, ni mke wa dakta mmoja wa tiba ya mionzi.
Doh!Huyu dakta angejua angetumia ile "dawa ya Temeke."
 
.....mashalaaaaa....Bibiye Paula huyo......
 
Paula Broadwell
Couple: But Petraeus has publicly confessed to cheating on his wife Holly, right

'Other woman': Paula Broadwell, left, is married and has two children. Petraeus has been married to his wife Holly, pictured right, for 37 years, and they also have two children
soure: http://www.dailymail.co.uk/news/article-2230697/David-Petraeus-resigns-head-CIA.html#ixzz2BmpAkQba

 

Share this :

Related Posts

0 Comments