[wanabidii] Tahadhari kwa Wamiliki wa STESHENALI

Thursday, November 15, 2012
Kuna matapeli wameingia mjini kazi yao kubwa ni kuliza wamiliki wa
stesherali .

Kama kikundi cha watu kimekufuata haswa wan chi za nje na kutaka vifaa
vya steshenali kwa jumla na uwapelekee kule walipo wao uwe makini
unaweza kuwa unaingizwa mjini na mali yako yote kupotea .

Kuna mtu wangu wa karibu ametapeliwa vitu vya thamani ya mil 8 pamoja
na laptop kadhaa alizozipeleka kwa hawa matapeli .

Kufika huko ikagundulika hata hiyo nyumba waliyopanga hawakulipia ,
fanicha za ndani nazo zilitapeliwa sehemu nyingine .

Tuwe makini .

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Share this :

Related Posts

0 Comments