[wanabidii] Taarifa ya habari ya TBC inatia kichefuchefu

Sunday, November 18, 2012
Wadau nilikuwa mpenzi mkubwa sana wa kuangalia taarifa za habari kutoka katika television yetu ta taifa (TBC), ila siku zinavyokwenda nimepoteza mapenzi kabisa na station hii, yaani kwanza maandalizi hakuna, inavyoonekana hawa watu hawafanyi kazi kabisa hata ile ya kufanya utafiti wa habari, imekua idhaa isiokuwa na mvuto hata kidgo. TBC badilikeni pls, mnaniboa sana.


Regards,
Lucas
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Share this :

Related Posts

0 Comments