[wanabidii] NAOMBENI USHAURI

Tuesday, November 13, 2012
Habari wanabidii,
 
Nina rafiki yangu anataka awe "Health Researcher" mzuri sana ila atanataka kujua ni mkondo gani wa masomo ambao anaweza akasoma ili aweze kumfikisha kwenye hilo rengo lake la kuwa Good Health Researcher.
Alikua anataka hafamu pia nchi yenye vyuo/universities vizuri na bei yake ya kawaida zenye kufundisha kozi hizo na mwisho wa siku ukapata kile ulicholipia na katika quality nzuri. Je, INDIA, FINLAND, SOUTH KOREA, SWEDEN, GERMANY.
 
Kozi anazotaka kusoma ni kama zifuatavyo;
 
1. First degree Nursing then Master degree of Public Healt or Epidimiology
 
2. First Degree Public Health then Master Degree of Epimiology or Biostatistics
 
3. First degree Doctor of medicine then Master degree of Epidemiology or Biostatistics
 
Ntashuku kama ntapata majibu kwa yoyte mwenye uelewa na fani tajwa hapo juu.
 
Asante sana.
 
Rashid.
 
 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments