[wanabidii] MSAADA JAMANI

Wednesday, November 28, 2012
JAMANI WANAJAMVI NAOMBA MSAADA WENU WA NAMNA YOYOTE,
NINA MDOGO WANGU KAMALIZA DEGREE YA KWANZA UDSM-  CHEMICAL ENGENEER
KUTOKA MWAKA JANA HADI LEO BADO HAJAPATA KAZI,
FOR SURE YUPO IN HARD CONDITION NA ANATEGEMEWA SANA
PLIZ ANY HELP
0714 142525
STAY BLESSED

Share this :

Related Posts

0 Comments